Estone
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 622
- 630
Muumba au muumbaji
Mpeli nalo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpeli nalo??
Unaweza jua umeambiwa unapendwa kumbe mwenzako anaandika lyricsNamsifu aliye juu sana
Baba wa wapole
Muumba maajabu.
Mfariji kwenye taabu
Mnyamazisha machozi yote.
Tumsifu Mungu wetu
Wanamsifu malaika
Wewe mwenye utukufu wote.
Wanamsifu na vya duniniani
Na vya baharini vyote
Hata mchana ndege
Wanamsifu muumbaji
Tumsifu Mungu wetu
Ndaga fijo👆😂😂
Jf raha sana🤣🤣🤣 hivi kuna mwanajf yeyote anaweza kuamua kujiua kweli🤣🤣🤣hapo lazima iwe case iliyoshindikana kama ya IskarioteBujibuji sio mnyakyusa Anatoka kikabila kimoja cha wachawi na wakabaji watu usiku
Ni wimbo wa kumtukuza Mungu kwa lugha ya Wanyakyusa.Unaweza jua umeambiwa unapendwa kumbe mwenzako anaandika lyrics
tumsifu au tumtukuzeTuntufye = tumsifu??
Jamani 😀😀😀 hiyo ni gospel song hata haihusiani na mikuyenge na papuchi kabisa😀Sikijui vizur ila hapo kwenye aya ya kwanza anasema "amekutana na mwanaume mwenye mkuyenge haswaa na yupo tayar alipiwe mahari"
Kwa hiyo ndugu yangu pole sana endelea kujifukiza na uvae barakoa
Kabisa, makosa mengi sana mfano, Kyala, kaandika KalaShemeji yenu (mke wangu) anatokea huko Unyakyusani. Anasema eti kuna spelling mistakes kibao hadi "note" yako inapoteza maana!
Alie kosea ni alieiandika hapa JF ila aliemuachia ilikuwa pouwa sana. Hiyo ni nyimbo ya kumtukuza Mungu.Kabisa,makosa mengi sana mfano,Kyala, kaandika Kala