WANYAKYUSAa na WANYAMANYAFU

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wanyakyusa naomba mnisaidie.
Mdogo wangu anataka kuoa Tukuyu, Mbeya, ameshauriwa auchunguze ukoo wa msichana wake asije akawa ni MNYAMANYAFU.
WANYAMANYAFU eti wanakula watu na ni wachawi sana.
Na eti tafsiri ya NYAMANYAFU ni nyama tamu.
Naombeni msaada wenu jamani, ili tujue namna ya kuwatofautisha Wanyakyusa safi na Wanyamanyafu
 
Ngoja waje wanyakyusa wenzangu waongelee hizi shutuma
 
Ngoja waje wanyakyusa wenzangu waongelee hizi shutuma
Yanini kwenda oa Mbeya wanakokula nyama za watu? Njooni muoe Tanga, mtalishwa nyama nzuri, pilau kwa biriani zenye kusheheni mbuzi alonona. Mahaba utapewa mpaka ujne uko peponi, kitandani twamwaga maua ridi na maua jasmini. Huko Tukuyu wayajua haya?
 
Kaka hiyo mambo haipo tena siku hizi, kimsingi ilikuwepo miaka ya nyuma sana na ilikua vijiji vya ndani...hasa wale Wanyakyusa wa Nyika au Ngonde.
 
Haya mambo ya Manyafu, Mbeya yapo sana. Kuna ukoo fulani hivi, ulikuwa unakaa Ghana, nyumba yao ilikuwa inatazamana na shule ya Majengo.
Watu hawa walikuwa ni hatari sana, walikuwa wanaua watu kwa kuwachinja.
Mbeya nzima wanawafahamu wakina Manyenye, Mbegale na Jaili
 
Hakuna upuuzi huo wala hauhitaji kuuliza kama upo,Kwanza hao Wanyamanyafu ulikuwa ni ukoo ambao siyo wanyakyusa asili lakini walihamia then wakapokelewa maeneo ya ngonde kabla ya kutengwa kutokana na tabia zao chafu ikiwemo kunyonya maziwa ya ng`ombe kama ndama. Ukoo huu sijapata kuusikia tena miaka ya hivi karibuni lakini kati ya 1990 kuliwahi kutokea ugomvi mkubwa baina yao na Wanyakyusa maeneo ya Tukuyu kule mabonde,bulyaga na maeneo mengine ya jirani.Inasadikika kwamba kutokana na uchache wao walipigwa kwa mishale ya moto kisha walihamia sumbawanga.Sijaenda Mbeya muda mrefu lakini kwa uelewa wangu mambo ya kula nyama za watu ni historia iliyopo Afrika nzima na kila kabila linahusishwa...Africa is the same in terms of environment and experience (Chinua Achebe) Nigeria walikuwa wanawatupa mapacha kwenye msitu maarufu THE EVIL FOREST wakidhani ni mkosi sambamba na walemavu wa ngozi lakini jambo hilo hilo linasimuliwa kwenye mwambao mwa misitu ya Congo.
 

Mkuu Bujibuji, umesoma location yangu eeh? Kweli wapo maeneo ya Ikuti, hapa tky town ukoo wao uko eneo liitwalo bagamoyo. They are real cannibers.
 
Unyamanyafu ulikuwa kwenye damu,
na huyo binti kama ni asili hiyo ukimwacha ni ole wako
lazima utaondoka tu, lakini kwa kuwa siku hizi kuna damu ya YESU
na ilimradi watu wamependana waache, kwani ni wapi hakuna uchawi miaka hii.
 
Hao watu bado wapo na wengi kule kwetu walikuwa wanagundulika ni wachawi na baadaye walikuwa wanafukuzwa (sio physical) bali walikuwa wanapewa adhabu ya kutoshikiana na wenzao walikuwa wanapewa jina la "MMALAWI".
 
mimi mmanyafu, si practice ila ninalindwa.. ukitaka nifanyia ubaya huwezi. sisi huwa tunakufa kwa ugonjwa wa kawaida sio kutengenezwa never.. ni mengi sana naweza kuandika lakini kiufupi hatumdhuru mtu bila sababu wala hatuli nyama za watu... ushauri wangu aoe tu hatakama ni mmanyafu hawezi mdhuru sababu sisi kizazi kipya hatujui chochote tunalidwa tu
 
Mkuu Bujibuji, umesoma location yangu eeh? Kweli wapo maeneo ya Ikuti, hapa tky town ukoo wao uko eneo liitwalo bagamoyo. They are real cannibers.

Tales of old times! nimeishi sana ikuti, i know the place and people of the area, Hakuna manyafu miaka hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…