Wanyama/mnyama gani unampenda sana?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Mi nawakubali sana Mbwa mwitu. Au African wild dogs/ Lycaon Pictus. Hawa jamaa napenda jinsi walivyokuwa organized na uwindaji wao.
Kawaida yao wanakula mnyama bado akiwa hai. Wanyama gani au ndege unawakubali na kuwapenda sana?
 
mbwa asee, hawa wanyama ukikaa nae vizuri anakua zaidi ya mshikaji.
 
Heri kuwa mguu Wa tembo kuliko kuwa kichwa cha sisimizi
 
Wanyama wa nyumbani napenda sana Mbwa (siyo koko lakini).

Wanyama wa porini napenda sana Simba (dume).

Kwa wadudu napenda sana Nge.
 
Kuna wanyama nawajua kwa kilugha chetu ndiyo nawakubali.

Libuli na Sakhurumulhi
 
Nampenda sana nge, kuna kipindi nilitamani hata aniume.

Ningekuwa naweza kuchora tattoo mwilini basi ningemchora nge.

Nimemuwaza tu alivyo na ninavyomugopa nikajikuta tu nacheka kumbe nae anapendeka?[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…