Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂yaan umenifanya nicheke kwa ngv jaman khaaTembo aisee yaani huyu mchizi alivyo mnene kila nikimuona namkumbuka marehemu Peppe Kale
Mkuu hyo ya tatu ilitakiwa utaje dusheWanyama napeka paka.
Ndege nampenda Tausi
Mdudu nampenda Kipepeo Na lady bug.
Mkuu hyo ya tatu ilitakiwa utaje dushe
Ya nnWe nawe tafadhali.
Ahahaha eti nge[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanyama wa nyumbani napenda sana Mbwa (siyo koko lakini).
Wanyama wa porini napenda sana Simba (dume).
Kwa wadudu napenda sana Nge.
Ahahaha eti nge[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nimemuwaza tu alivyo na ninavyomugopa nikajikuta tu nacheka kumbe nae anapendeka?[emoji3]Anachekesha kwani?
Nimemuwaza tu alivyo na ninavyomugopa nikajikuta tu nacheka kumbe nae anapendeka?[emoji3]
Tembo aisee yaani huyu mchizi alivyo mnene kila nikimuona namkumbuka marehemu Peppe Kale