Wanyama na pesa za Nigeria

Minah24

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
1,043
Reaction score
1,937

[emoji117]Walianza panya kula vifaa vya ofisi ya Raisi

[emoji117]nyoka nae akameza mamilion ya pesa

Sasa nyani nae kapita Nazo
Naic kama katumwa na mtu Huyu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
NIGERIA NI WAJANJA MNO.NAHISI HUYO NYANI ALIKUWA NA NDOTO ZA KUHUJUMU PESA ZA SERIKALI.
 
NIGERIA NI WAJANJA MNO.NAHISI HUYO NYANI ALIKUWA NA NDOTO ZA KUHUJUMU PESA ZA SERIKALI.
Nyani akija Tanzania atakuwa millionaire, atapata na kabongo movie kamoja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni njia mpya ya upigaji wa pesa muhari si amekaza sasa wanatumia style nyingine.. Afrika hatuishiwi mbinu mbona
 
Hawa Jamaa waongo sana wanalishana matango pori mnoo...watu wmepiga hela hapo ..wanaamua kumsingizia nyani ..kwakuwa hasemi
Wanani shangaza Sana Kwanini wanaeka hela nyingi hivyo nyumbani
 
Hii ni njia mpya ya upigaji wa pesa muhari si amekaza sasa wanatumia style nyingine.. Afrika hatuishiwi mbinu mbona
Ila hii mbinu ya kuwasingizia Wanyama inaniacha hoi

Huyo nyani alijuaje kunapesa akaenda kuzichukua khaaa! Hata hawaogop kudanganya hawa
 
Nigeria wana drama sana kuna yule Mbuzi aliyekamatwa na Polisi eti kaiba hela bank!...
 
Nigeria wana drama sana kuna yule Mbuzi aliyekamatwa na Polisi eti kaiba hela bank!...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm cwatak kabisaaa hawa watu
 
Nna ndoto za kwenda kuishi lagos kama miaka miwili hivi nafkiri nikirudi bongo ntakuwa nna zaidi ya phd

Afrika nzima tungekuwa kama wanaigeria nadhani wazungu wangeumiza sana vchwa
 
Nna ndoto za kwenda kuishi lagos kama miaka miwili hivi nafkiri nikirudi bongo ntakuwa nna zaidi ya phd

Afrika nzima tungekuwa kama wanaigeria nadhani wazungu wangeumiza sana vchwa
Uwende na mijuc wako, uwe unawatuma wakaibe bank [emoji23][emoji23][emoji23]
Utarudi billionaire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…