Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hii mbinu ya kuwasingizia Wanyama inaniacha hoiHii ni njia mpya ya upigaji wa pesa muhari si amekaza sasa wanatumia style nyingine.. Afrika hatuishiwi mbinu mbona
hahaa wapigaji tu haoWanani shangaza Sana Kwanini wanaeka hela nyingi hivyo nyumbani
sasa we unadhani ni nini kama sio watu hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na nyoka aliye meza mamilion nae mtu, na walepanya nao watu walikuwa hawampendi Raisi Buhari et?
My Nahuja
Uwende na mijuc wako, uwe unawatuma wakaibe bank [emoji23][emoji23][emoji23]Nna ndoto za kwenda kuishi lagos kama miaka miwili hivi nafkiri nikirudi bongo ntakuwa nna zaidi ya phd
Afrika nzima tungekuwa kama wanaigeria nadhani wazungu wangeumiza sana vchwa