Katika utamaduni wa China, watu hugawanya mwaka mzima kwa vipindi 24 kwa jumla, na tarehe 5 Machi itakuwa ni siku ya kuanza kwa kipindi cha wadudu kuamka, kwa kichina ni “Jing Zhe”, ambayo ni kipindi cha tatu katika mwaka mzima, ambapo mimea na wadudu wataanza kukua kwa kufuata mabadiliko ya majira.
Wanyama mbalimbali wadogo pia wataanza kufurahia kipindi hicho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.