Wanyama na wadudu waamka kipindi cha tatu cha mwaka “Jing Zhe” kwa kalenda ya kichina

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121


Katika utamaduni wa China, watu hugawanya mwaka mzima kwa vipindi 24 kwa jumla, na tarehe 5 Machi itakuwa ni siku ya kuanza kwa kipindi cha wadudu kuamka, kwa kichina ni “Jing Zhe”, ambayo ni kipindi cha tatu katika mwaka mzima, ambapo mimea na wadudu wataanza kukua kwa kufuata mabadiliko ya majira.

Wanyama mbalimbali wadogo pia wataanza kufurahia kipindi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…