Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
mbwa ni wanyama poa sana,
Hadi mende??Mijusi,fisi, kingine ni wadudu kana mende nzi na mwingineyo.
😅 😅 "mchawi ni ndugu" unamaanisha nn?Mchawi ni ndugu. Paka anatumwa tu.
Ndugu anakuloga kirahisi hata kama una hatia.😅 😅 "mchawi ni ndugu" unamaanisha nn?
NakaziaNi Imani tu
Paka na Mbwa wote wanaona mpaka infrared radiation.
Wakati sisi tupo kwenye visible light
Ila kusema paka anatumika na sio mbwa ni uongo.
Vipi fisi, Mamba atumike ila mbwa ashindikanike?
Ni Imani iliyojengwa kupitia hekaya za wahenga na hakuna uhalisia.
Paka ni kiumbe Bora na safi
Ndio enzi za kale mabaharia waliwatumia
Kuwaweka ndani ya Meli ikiwa ni ishara ya Ulinzi
Mwamba anakula news
Weka source tufungue wenyewe
science na uchawi nivitu viwili ambavyo vinakinzana na havijawi kwenda sambamba ingawa vyote kiuhalisia vipo vinatendwa na wahusika nakuleta + au - effects, watu wengi wanakataa uchawi haupo kwakua unahusisha usiri mkubwa na haufundishwi waziwazi kama ilivyo kwa science mashuleni..,..natamani nikufafanulie vzur uelewe ila nimechoka kuandika nahisi njaa ila usiwe mbishi uchawi upo nanikweli paka,bundi,popo,fisi na mamba wanatumika sana nawachawi, tena kwa paka mimi naushahidi wakusikia kwa masikio yangu akiongea neno "naomba" zaidi ya mara 3 nje ya dirisha la chumba changu yaani alikua alia "myau,myauu,mwyauu" kwa tone yakunung'unika sana alafu anamalizia na kusema " naomba,naomba" hata sijui alikuwa ananitaka niniNi Imani tu
Paka na Mbwa wote wanaona mpaka infrared radiation.
Wakati sisi tupo kwenye visible light
Ila kusema paka anatumika na sio mbwa ni uongo.
Vipi fisi, Mamba atumike ila mbwa ashindikanike?
Ni Imani iliyojengwa kupitia hekaya za wahenga na hakuna uhalisia.
Paka ni kiumbe Bora na safi
Ndio enzi za kale mabaharia waliwatumia
Kuwaweka ndani ya Meli ikiwa ni ishara ya Ulinzi
Jirani yangu alimkuta paka kabatini, akaenda kuchukua fimbo nje ili arudi amtandike, alipotoka alifunga mlango, aliporudi na fimbo hakumkuta paka ndani, akamwamsha mkewe na kijana wao wasaidiane wakamtafuta for hours hakuonekana haijulikani aliingilia na kutokea wapi nyumba yote ina ceiling na madirisha ya vioomimi naushahidi wakusikia kwa masikio yangu akiongea neno "naomba" zaidi ya mara 3 nje ya dirisha la chumba changu yaani alikua alia "myau,myauu,mwyauu" kwa tone yakunung'unika sana alafu anamalizia na kusema " naomba,naomba" hata sijui alikuwa ananitaka nini
Acha kuvuta bange usiku hayo ndio madhara yake.science na uchawi nivitu viwili ambavyo vinakinzana na havijawi kwenda sambamba ingawa vyote kiuhalisia vipo vinatendwa na wahusika nakuleta + au - effects, watu wengi wanakataa uchawi haupo kwakua unahusisha usiri mkubwa na haufundishwi waziwazi kama ilivyo kwa science mashuleni..,..natamani nikufafanulie vzur uelewe ila nimechoka kuandika nahisi njaa ila usiwe mbishi uchawi upo nanikweli paka,bundi,popo,fisi na mamba wanatumika sana nawachawi, tena kwa paka mimi naushahidi wakusikia kwa masikio yangu akiongea neno "naomba" zaidi ya mara 3 nje ya dirisha la chumba changu yaani alikua alia "myau,myauu,mwyauu" kwa tone yakunung'unika sana alafu anamalizia na kusema " naomba,naomba" hata sijui alikuwa ananitaka nini
Kumbe😵💫Fisi ndy hatari Zaidi kwa UCHAWI..
Fisi anatumika kwa operation ya ardhini kama ikitokea ungo umeleta hitilafu.View attachment 2819331