Wanyama watano wanaopewa heshima jeshini

Bongo njaa kali jeshi linafuga njiwa wa kutuma ujumbe mara wanashangaa anakonda tu kumbe kuna wanajeshi wanaiba mtama wanaenda kuuza.
Au wanakula wenyewe, hawataki shida kabisa

Na huyo mbwa biskuti zake wanapelekewa watoto
Usikute njiwa wanaliwa na soldiers

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Nawahurumia sana hawa wanyama.
Wakistaafu huwa wanapumzishwa kweli kweli
 
Kama kuna msukuma humu anajua heshima ya fisi,anaweza akakutoa mwanza hadi Congo DRC usiku mmoja tu bora ujishikilie na kufuata masharti ipasavyo
 
Kwenye mbuzi, umetupiga kanyanga mkuu. 1775 vita ya kwanza ya dunia! Nikisema "uongo" nitakuwa nimeukandamiza sana mchango wako.
Ninasihi kasome historia na uje urekebishe kipengele hicho.
 


6: MA PADLOCK
Huyu ni jamii ya samaki aina ya tilapia/sato amejipatia umaarufu kunzia miaka ya 2008 ila umaarufu wake uliongezeka kufikia mwaka 2015, alipovikwa mavazi ya kijeshi yani full combat na kuogelea nazo masaa 72. Alitunukiwa cheo cha Amiri Jeshi Mkuu, baada ya kukabidhi kivuko cha Jamuhuri katika Jeshi. Ameisaidia nchi fulani kuweza kushinda kesi za Samaki.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Huku pia kuna punda,anaheshimka kweli aliwasaidia mgambo kubeba mizgo pind wanapambana na wamachinga

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…