Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huyu alipewa medali hapa bongo nimesahau mwaka gn?Bundi pia anahusika
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alipewa medali hapa bongo nimesahau mwaka gn?Bundi pia anahusika
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Kule kibitiMnyama T.I.D yeye ni jeshi la wapi?
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Usikute njiwa wanaliwa na soldiersBongo njaa kali jeshi linafuga njiwa wa kutuma ujumbe mara wanashangaa anakonda tu kumbe kuna wanajeshi wanaiba mtama wanaenda kuuza.
Au wanakula wenyewe, hawataki shida kabisa
Na huyo mbwa biskuti zake wanapelekewa watoto
Mbwa nae?Mm nikiwakamata hao nawala ....njiwa nachoma mbuzi nachoma natengeneza mtori na supu swaafi ....
Mkuu hii comment ni hili jikwaa kweliHatari sana yana wanyama wanachafuka medali zaidi ya binadamu bana.....afu usisahau kuna paka mmoja alikuwa meya pale marekani.
Kuna yule twiga wa tz aliekuwa rubani akapanda ndege ya kivita na kuirusha angani...
iphone s8+
hivi faru fausta hajambo ,maana sijamsikia muda mrefu
hivi faru fausta hajambo ,maana sijamsikia muda mrefu
Pinguins info - penguin - information about lifespan age of penguinsBrigedia Nils Olav katisha sana hivi life ya expectancy ya penguin ni miaka mingapi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Mnyama T.I.D yeye ni jeshi la wapi?
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Kwa kawaida wanyama hurahisisha maisha ya binadamu kwa kuwa walinzi, chakula na usafiri lakini kuna baadhi ya wanyama na ndege walioweza kujiwekea heshima duniani hasa kwenye sekta maalum za kijeshi na wameweza kupata nafasi za juu jeshini.
1: SIR NILS OLAV
![]()
Nils Olav ni ndege aina ya Penguin aliyepewa cheo mara ya kwanza mwaka 1972 na kuwekwa kwenye timu ya walinzi wa mfalme Harald V Loudon wa Norway. Kwa sasa Sir Nils Olav ni Brigedia anapewa heshima zote za kijeshi ikiwemo kupigiwa saluti na kukagua jeshi.
2: TREO
![]()
Ni mbwa aliyetumikia jeshi la Uingereza kuanzia mwaka 2001 mpaka 2015. Trio ana medali zisizopungua 63 ambazo alipewa baada ya kufaya kazi kubwa ya kutegua mabomu na kutambua mahali mabomu yalipofichwa.
3: WILLIAM OF ORANGE
![]()
William ni njiwa aliyekuwa mwanajeshi wa jeshi la Uingereza mwenye namba MI14 ambapo mwaka 1944 alipewa medali ya 21 baada ya kupeleka ujumbe uliookoa vifo vya zaidi ya wanajeshi 2000 kwenye vita ya Arnhem wakati wa Vita ya Pili ya Dunia.
4: TAFFY IV.
![]()
Huyu ni mbuzi aliyetumikia jeshi la Uingereza tangu mwaka 1775 ambaye alichukuliwa kwa mara ya kwanza mwaka 1774 na kuingizwa kwenye jeshi maalum la Uingereza alipokutwa anarandaranda porini. Alipewa medali ya 14 ambayo ni maalum waliyopewa wanajeshi wa Uingereza wakati wa Vita ya Kwanza ya Dunia (WWI).
5: LIN WANG
![]()
Ni tembo aliyekuwa mwanajeshi wa jeshi la China kuanzia mwaka 1942 ambapo alitumika kujenga majengo marefu ya jeshini, kusafirisha chakula wakati wa vita na alitumika kama kivutio kwa ajili ya kukusanya fedha wakati wa njaa kipindi cha vita na kupewa medali 12 za kijeshi.