Wanyama watano wanaopewa heshima jeshini

Hapa kwetu kuna mnyama mmoja anaishi Kinondoni sijui ana medali ngapi.
 
Hao hawana lolote kwa faru wetu fausta na john wanaheshmika balaaa bora uishike sirikali matako kuliko hao viumbe

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Duuu, mkojo unao lakini au basi tu[emoji3] [emoji3]
 
Bongo njaa kali jeshi linafuga njiwa wa kutuma ujumbe mara wanashangaa anakonda tu kumbe kuna wanajeshi wanaiba mtama wanaenda kuuza.
Au wanakula wenyewe, hawataki shida kabisa

Na huyo mbwa biskuti zake wanapelekewa watoto
Hahahaha, mkuu umeua.
 
Msimsahau mnyama Fisi kwa jeshi la sungusungu huko shinyanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…