Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yule mbuzi wa lugalo nahisi kwa sasa atakuwa koplo au sajenti kama hakuliwa supuUngetuwekea na wa Tanzania...kwani wapo pia!
Itawatambua siku wa Marekani wakija kuwahitaji ili kuwapeleka Kandaharhivi serikali na jeshi inatambua uwepo wa wale panya waokoa mabomu...?
Hajambo anakusalimhivi faru fausta hajambo ,maana sijamsikia muda mrefu
Hahaaa u made ma dayMnyama T.I.D yeye ni jeshi la wapi?
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Brigedia Nils Olav katisha sana hivi life span ya penguin ni miaka mingapi?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] you make my day mkuu kagulilo1Kuna yule mbuzi wa lugalo nahisi kwa sasa atakuwa koplo au sajenti kama hakuliwa supu
Mkuu soma vizuri.Kwenye mbuzi, umetupiga kanyanga mkuu. 1775 vita ya kwanza ya dunia! Nikisema "uongo" nitakuwa nimeukandamiza sana mchango wako.
Ninasihi kasome historia na uje urekebishe kipengele hicho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kuna msukuma humu anajua heshima ya fisi,anaweza akakutoa mwanza hadi Congo DRC usiku mmoja tu bora ujishikilie na kufuata masharti ipasavyo
Duuu, mkojo unao lakini au basi tu[emoji3] [emoji3]Hao hawana lolote kwa faru wetu fausta na john wanaheshmika balaaa bora uishike sirikali matako kuliko hao viumbe
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Jeshi la mtu mmoja[emoji3] [emoji3]Mnyama T.I.D yeye ni jeshi la wapi?
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, mkuu umeua.Bongo njaa kali jeshi linafuga njiwa wa kutuma ujumbe mara wanashangaa anakonda tu kumbe kuna wanajeshi wanaiba mtama wanaenda kuuza.
Au wanakula wenyewe, hawataki shida kabisa
Na huyo mbwa biskuti zake wanapelekewa watoto
Hahaaa we mkuu una utani mmbayaMsimsahau mnyama Fisi kwa jeshi la sungusungu huko shinyanga