WANYAMWEZI wanajua mahaba na ku handle kuliko wote Tanzania....!

Naona wengine wanadanganyana hapa.....asilimia kubwa ya wanawake wa kinyamwezi ni wavivu na hupenda umbea tu.....mind you ukioa mnyamwezi jiandae kutunza familia yake.

Wewe, kina nani wanalima sasa; wewe ukiona wanyamwezi wa ng'ambo na isevya ndio unachukulia ni wote. Nennda Sikonge na vijiji vyake, nenda Urambo, nenda Nzega (ingawa huko utapata idadi kubwa na wasukuma).

Umbea? Aisee hiyo kitu ni msamiati kwetu. Mimi sijawahi sutwa maishani, wala mama yangu wala ndugu zangu.
 
Inasemekana kabila la Wanyamwez toka TABORA wanajua mapenz,ku care,ku handle na uvumilivu kuliko makabila yote.WEWE UNASEMAJE?
Umesema kweli. Wanawake wa kinyamwezi hawana hiana, ukiomba mzigo leo unapewa leo leo bila longo longo
 
Umesema kweli. Wanawake wa kinyamwezi hawana hiana, ukiomba mzigo leo unapewa leo leo bila longo longo

Hao warangi,kila siku wagen anajidai ndugu,ukiskia OMWARE,OJORE imekula kwako!
 

Huyo atakua anaongelea Wazaramo na wandengereko,watu wa Shughuli(ngoma)
 
Mke hatafutwi kwa kabila bana..
Katika zama hzi za utandawazi kila kabila ni super..
Tumeona hata wamasai wanajua mahaba..

Kaowe kuleee kusin utaskia (We niangusage du sambi sako mwenyewe).
 
Wamachame ndo wanajua kukea ukimzingua tu anakupumzisha under 6 ft
 

Kama mm na mke wangu,yaan rrrahaaaaa mpaka basi,wengine mapish ya NTWIRI(karanga) hawajaonja!
 
Kama mm na mke wangu,yaan rrrahaaaaa mpaka basi,wengine mapish ya NTWIRI(karanga) hawajaonja!

Unabahati wewe! Wengine walishawahi kula Concoction ya Ntwiri, uyoga na asali, wakahamia nyumba ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…