Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
Najua zipo mkuu, ngoma kama,Maswezi,manyanga,Uyeye,Bagika,Bagalu,bazuba,Radu na nyinginezo nyingi,wewe ulikuwa unazungumzia zipi kiongozi?....
Good one Don!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua zipo mkuu, ngoma kama,Maswezi,manyanga,Uyeye,Bagika,Bagalu,bazuba,Radu na nyinginezo nyingi,wewe ulikuwa unazungumzia zipi kiongozi?....
thread hii inahusu na wanaume wa kinyamwez au vipi?
Naona wengine wanadanganyana hapa.....asilimia kubwa ya wanawake wa kinyamwezi ni wavivu na hupenda umbea tu.....mind you ukioa mnyamwezi jiandae kutunza familia yake.
Umesema kweli. Wanawake wa kinyamwezi hawana hiana, ukiomba mzigo leo unapewa leo leo bila longo longoInasemekana kabila la Wanyamwez toka TABORA wanajua mapenz,ku care,ku handle na uvumilivu kuliko makabila yote.WEWE UNASEMAJE?
Wewe, kina nani wanalima sasa; wewe ukiona wanyamwezi wa ng'ambo na isevya ndio unachukulia ni wote. Nennda Sikonge na vijiji vyake, nenda Urambo, nenda Nzega (ingawa huko utapata idadi kubwa na wasukuma).
Umbea? Aisee hiyo kitu ni msamiati kwetu. Mimi sijawahi sutwa maishani, wala mama yangu wala ndugu zangu.
Hii ina ukweli fulani maana wengi walioowa dada zangu wa Kinyamwezi husifia sana.
Wanyamwezi tunafunzwa sana kutunza Wanaume na Wanaume kutunza wake zetu..
Mambo ya jando ya unyago (ukiacha tohara ya Wanawake) huwapa shule nzuri sana.
Wengi wa Wanawake wamekuzwa ili kuwatunza na kuwaheshimu Waume zao.
Yaani tangu azaliwe, anaambiwa jinsi MUME alivyo muhimu.
hujakutana mtoto wa kingoni wewe!
Kama mm na mke wangu,yaan rrrahaaaaa mpaka basi,wengine mapish ya NTWIRI(karanga) hawajaonja!
Funguka mkuu!