and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Kwa jinsi tulivyo sitashangaa Mali yetu ila tukawa bado wafagizi Tu hapo Esther Luxury huku Wachaga wakila mema ya brother
Labda wale wa aina ya Nyalandu. Wale wa aina ya Lissu hawafanyagi hizo mambo!Kwa jinsi tulivyo sitashangaa Mali yetu ila tukawa bado wafagizi Tu hapo Esther Luxury huku Wachaga wakila mema ya brother
Kwan Tundu ni MnyaturuLabda wale wa aina ya Nyalandu. Wale wa aina ya Lissu hawafanyagi hizo mambo!
Ndiyo huyo sasa Mnyaturu mtata!Kwan Tundu ni Mnyaturu
Sidhani kama yupo Mnyaturu mtata KIASI kile
Aise kullumbusNdiyo huyo sasa Mnyaturu mtata!
wa aina ya Lissu ni wasomi sana, wa aina ya Nyalandu ndio hao wairwana wanaweza kufyagia. By the way hayo magari ni ya unyimbarani sio unyaturuniLabda wale wa aina ya Nyalandu. Wale wa aina ya Lissu hawafanyagi hizo mambo!