Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Kwani hawana adhabu nyingine- ni lazima mijeledi?
Kwa mtazamo wangu I dont think kuwa adhabu ya bakora anyopata jamaa ni sahihi.
Kwa hiyo kwanza wangeanzia na alikonunua au aliyempa pombe, je mwanamke yuko wapi? kunaweza kuwa na adhabu nyingi tu kama vile community service badala ya bakora. hizo mie naita ni adhabu primitive na hazina manufaa.
Hii adhabu ni ya kibaguzi kwasababu kama mhusika angekuwa mwanamke angestahili kupigwa mawe hadi mauti yamkute kwa kuzini.Wataalam wa sharia naomba mtuambie ni kwanini sharia inampendelea zaidi mwananume na kumkandamiza mwanamke.
kabla hujalitoa boriti kwenye jicho la mwenzio...angalia lako kwanza!
n pia ukipoint kidole kimoja kwa mwenzio kuw ani mdhambi,angalia vingapi vinakurudia!
na yeyote aliye so clean na asiye na dhambi aendelee kubisha lakini deep within yeye mwenyewe anajijua kuwa anabisha basi tu kuridhisha nafsi yake!
Tutakapo jiunga na OIC wanyeyekevu wengi watakimbia dini
Tutakapo jiunga na OIC wanyeyekevu wengi watakimbia dini
Hiyo picha mpaka leo inaniuma jinsi walivyomsulubisha "mdhambi".....dini hiziMh jamaa hawana huruma,kama Mungu angekuwa na hasira hivyo dunia ingekuwa wazi,kungekuwa hakuna mtu.
Mbarikiwa, hiyo ni ndoto ya mchana. Kwa mujibu wa Sharia kuukana Uislamu ni kosa la kuuwawa tena na ndugu zako wa kuzaliwa au wazazi! Yaani hao wanaikimbia hiyo dini wakati huo hawataweza au vinginvyo wakubali kufa; na hiyo ndo hofu kubwa ya Uislamu na Waislamu maana wanajua fika kuwa Waislamu wengi wamegundua ukweli na wanaikana imani sasa njia ya kupambana ni kuhalalisha tujiunge OIC, tuanzishe kadhi maana sheria ya sharia inakataza Waislamu kuikana imani yao.
Hujiulizi ni kwa nini hata hapo Zanzibar ni lazima kuvaa hijab wakati wa mwezi wa Ramadhani? Hujiulizi kwa nini hapo Zanzibar akanisa hayawekwi alama Msalaba? Hapo bado Zanzibar si nchi ya Kiisalmu, siku ikikubaliwa kuwa nchi ya Kiislamu itabidi makanisa yote yafungwe na ole wake mtu ahubiri Ukristo au aonekana ameshika Biblia! Ndo maana ili Uislamju uendelee na upate nguvu inabidi uunganishwe na dola vinginevyo hauna habari njema ya kuwavuta watu kwa Muhammad.
Hapo sasa.
....asante mkuu kwa kunipa sababu zaidi ya kukataa uislam au dini ya aina yeyote,nyie watu kaeni na midini yenu huko makanisani/misikitini kwenu,sijui kwanini mnataka kulazimisha kila mtu aishi kwa kufuata dini zenu...pls keep your God in your own fucking life and live us alone!
Okoka mara moja la sivyo nitahakikisha unaenda motoni
Ama hakika una chuki za Ajabu....Wadangaye wenzako...!!! Hata hio DINI yako huijui kazi kuimba kwaya!!!Mbarikiwa, hiyo ni ndoto ya mchana. Kwa mujibu wa Sharia kuukana Uislamu ni kosa la kuuwawa tena na ndugu zako wa kuzaliwa au wazazi! Yaani hao wanaikimbia hiyo dini wakati huo hawataweza au vinginvyo wakubali kufa; na hiyo ndo hofu kubwa ya Uislamu na Waislamu maana wanajua fika kuwa Waislamu wengi wamegundua ukweli na wanaikana imani sasa njia ya kupambana ni kuhalalisha tujiunge OIC, tuanzishe kadhi maana sheria ya sharia inakataza Waislamu kuikana imani yao.
Hujiulizi ni kwa nini hata hapo Zanzibar ni lazima kuvaa hijab wakati wa mwezi wa Ramadhani? Hujiulizi kwa nini hapo Zanzibar akanisa hayawekwi alama Msalaba? Hapo bado Zanzibar si nchi ya Kiisalmu, siku ikikubaliwa kuwa nchi ya Kiislamu itabidi makanisa yote yafungwe na ole wake mtu ahubiri Ukristo au aonekana ameshika Biblia! Ndo maana ili Uislamju uendelee na upate nguvu inabidi uunganishwe na dola vinginevyo hauna habari njema ya kuwavuta watu kwa Muhammad.
Hapo sasa.
Ama hakika una chuki za Ajabu....Wadangaye wenzako...!!! Hata hio DINI yako huijui kazi kuimba kwaya!!!