Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 726
Kwa mujibu wa Sharia kuukana Uislamu ni kosa la kuuwawa tena na ndugu zako wa kuzaliwa au wazazi!
Heee! Mi nijuavyo anayeukana Uislamu si Muislamu tena, sasa inakuwaje tena ahukumiwe kwa sharia wakati ameshajitoa uislamu? Halafu na hao wazazi/ndugu wanapomuua huyo aliyekana, wao hawatendi dhambi ya mauaji? Sasa wakimuua sheria za nchi zina nafasi gani kwa wauaji hao? Ama kweli 'unyenyekevu' una mambo !!