Heee! Mi nijuavyo anayeukana Uislamu si Muislamu tena, sasa inakuwaje tena ahukumiwe kwa sharia wakati ameshajitoa uislamu? Halafu na hao wazazi/ndugu wanapomuua huyo aliyekana, wao hawatendi dhambi ya mauaji? Sasa wakimuua sheria za nchi zina nafasi gani kwa wauaji hao? Ama kweli 'unyenyekevu' una mambo !!