ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Kwamba maeneo ya chango'mbe dar es salaam wale wanaume wa dar wnaoendana na fashooon za kina lil uzi,21 savage,wiz khalifa za kuvaa visurual vya kubana yaani vimodo na kunyoa viduku wamepokea vichapo kutoka kwa walinzi wa amani na kunyolewa viduku hivyo
Pia inasemekana huko Arusha hata wadada waliovaa jeans wanakamatwa
Okie dokie,naliomba jeshimahiri kabisa la polisi Afrika nzima yaani Police tanzania waanze msako wa guest houses wakikuta watu wanafanya ule mchezo wa kimama na baba wawaambie waonyeshe vyeti vya ndoa hii itasaidia sana kulinda maadili mema ya jamaii tya Mtanzania,jamii yenye upendo ,amani,inayoishi vizuri bila kubaguana chini ya Rais mpendwa mwenye moyo wa upendo kwa wananchi wake bila kujali itikadi za vyama vyao