Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Kwamba maeneo ya chango'mbe dar es salaam wale wanaume wa dar wnaoendana na fashooon za kina lil uzi,21 savage,wiz khalifa za kuvaa visurual vya kubana yaani vimodo na kunyoa viduku wamepokea vichapo kutoka kwa walinzi wa amani na kunyolewa viduku hivyo
Pia inasemekana huko Arusha hata wadada waliovaa jeans wanakamatwa
Okie dokie,naliomba jeshimahiri kabisa la polisi Afrika nzima yaani Police tanzania waanze msako wa guest houses wakikuta watu wanafanya ule mchezo wa kimama na baba wawaambie waonyeshe vyeti vya ndoa hii itasaidia sana kulinda maadili mema ya jamaii tya Mtanzania,jamii yenye upendo ,amani,inayoishi vizuri bila kubaguana chini ya Rais mpendwa mwenye moyo wa upendo kwa wananchi wake bila kujali itikadi za vyama vyao
Mi siku hiyo wataniua tu
How come michongo kama hiyo bana
 
Kizazi cha hovyo kabisa hiki, hadi kinakumbushwa kwa bakora ...ni hatari sana. Ngoja wafunzwe na dunia, na mie natamani nikute maeneo kichapo hicho ili nikoleze ...waturuhusu tuwatie dole pia
Huna akili wewe!
 
Swala la maadili lazima liwekewe mkazo ili kudhibiti huu mmomonyoko wa maadili kwenye jamii zetu.
Msiwasahau na wanaume wavaa hereni.
Unadhibiti mmomonyoko wa maadili??? Kabisa?? ...hahahaa...

Wewe ni mpumbaVvvu.
 
nchi haina vazi la taifa ila imekazana kuonea watu kuvaa watakavyo, kunyoa kiduku inazuia nini uchumi kupanda

walio litia taifa umaskini wa ajabu ni wale wavaa suti na tai.
Kunyoa kiduku kuvaa heleni kuvaa kata k kuvaa kajins Ka kubana watakupigatu nasema wakupigetu
 
Mkiitwa SHITHOLES ndio jina linalowafaa.

It's true you don't have brains, hamna kabisa akili nyie.

Kajamaa kakishashika kamtutu na kuvaa mabuti makubwa basi ndio kameshakuwa kasultaniiii????

Sijui kwanini tulizaliwa na ngozi nyeusi katikati ya mazuzu namna hii????
 
Mim ningependa msanii Joti aitwe kama Gigy akatueleze kama kuigiza mdada ndio kuchekesha.

Hawa matozi naona kama tunawaonea tu!.

Ila hold On!!, hii operesheni ianzie timu ya taifa kule si kuna viduku vya kimataifa embu vinyolewe para chapu!
 
Wakwendee hukoo wanaingilia watu mpaka mavazi yao na unyoaji wao
Kiduku hakijaanza kunƴolewa leo hata ɓaɓa zetu walinƴoa stlƴ nƴingi kama manjua na afro hivƴo basi vijana wamerudia ƴale ya zamani ƙwenƴe mitinɗo ƴa kunƴoa.Naomɓa wasionewe
 
Kwamba maeneo ya chango'mbe dar es salaam wale wanaume wa dar wnaoendana na fashooon za kina lil uzi,21 savage,wiz khalifa za kuvaa visurual vya kubana yaani vimodo na kunyoa viduku wamepokea vichapo kutoka kwa walinzi wa amani na kunyolewa viduku hivyo
Pia inasemekana huko Arusha hata wadada waliovaa jeans wanakamatwa
Okie dokie,naliomba jeshimahiri kabisa la polisi Afrika nzima yaani Police tanzania waanze msako wa guest houses wakikuta watu wanafanya ule mchezo wa kimama na baba wawaambie waonyeshe vyeti vya ndoa hii itasaidia sana kulinda maadili mema ya jamaii tya Mtanzania,jamii yenye upendo ,amani,inayoishi vizuri bila kubaguana chini ya Rais mpendwa mwenye moyo wa upendo kwa wananchi wake bila kujali itikadi za vyama vyao
Hii nchi bado ina mapori mengi sana saa hizi hata wanaofanyia mapenzi gest ni wachache labda Kwa wale wanao kuwa safarini mapenzi hayakanywi kijana ukiyazima ndyo yanapea kama moto we petrol
 
Maadili hayaanzii mtaani huanzia nyumbani .......
 
Back
Top Bottom