Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Hivi vikundi vya "ulinzi", " amani", "sungusungu" etc, viangaliwe vyema. Mbeleni vikimaliza kuchapa bakora vitaanza kazi zingine
 
Mnaacha mashoga mnacharaza viboko wanaovaa suruali za kubana na wanaonyoa viduku hii sio ya kufurahia hata kidogo. Kunyoa kiduku sio ushoga wala kuvaa suruali ya kubana sio ushoga nani ametoa hilo wazo?
 
Back
Top Bottom