Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Huku ni kuingilia uhuru wa watu. Utamwombaje mtu cheti cha ndoa guest? Kwani huwa wanatembea nacho?
 
Haya mambo yalikuwepo toka kitambo, kwa nini leo ndiyo ionekane inakiuka maadili!? Vijana wa zamani walikuwa wanavaa suruali zinawabana tena mbaya zaidi zilikuwa zinabana kuanzia magotini kwenda juu bora hata hawa wa sasa wanaobana miguu!
Ukija kwenye staili za nywele ndiyo usiseme walikuwa na za ajabu kweli.
Hii ni zama na kila zama ina fasheni zake, waacheni vijana kwani mwisho wa siku itapita tu.
Tufuate vipaumbele vya taifa.
 
Sentensi kadhaa za mwisho umechafua hata lengo jema la uzi
 

Angalia urembo wa Rihana
 
Aise Tanzania sjui vipi hafi Uhuru wakunyoa wKuvaa kwa wanaume me napingana na hilo eifha hao wLinzi wamenhimwa mshahara NdO maana
Lkn kW nn serikali hailiangalii hili kwa upande wa pili bora chadema ije ichukue nchi kuwe na Uhuru kamili
Basi mngewanyima wakina mam kuendesha magari kam wenzenu
Tuone kambmtafika
 
Usijekuta wewe ni naibu aliyewaita wale aliowaona insta? Kwani mtindo wa kunyoa na kuvaa una sheria? Kama ndivyo basi, watuletee lile vazi za taifa walilobuni!
Na hili la kuingia guest na cheti cha ndoa uliwahi kuliona wapi duniani? Yaani tuwe tunatembea navyo kama kitambulisho pamoja na ukubwa wake ule? Kwa mtindo huu hakuna kiwanda kitajengwa na uchumi utazidi kwenda bondeni! Hebu tafakari njia za kuinua uchumi na achana na mitindo ya maisha ya watu. Kama wewe huyamudu kakae shamba na ngedere wasiovaa wala kunyoa! Roho mbaya na wivu wa kimapokeo tu vinakuwasha!
 
..mbafff unaleta stori za kitandani kwako ukiwa na mumeo wakati anakumwagia upako wa bwana[emoji160] [emoji90] [emoji196] [emoji200] we
Weka picha kama c ushilawadu umikujaa makalione[emoji90] [emoji160]
 
NAwashauri wanaotekeleza zoezihilo wasiende kwenye vyuo vikuu vyetu maana watachoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…