FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ewe punguani,kumbuka jide ni mtoto wa kike,ana kitu cha ziada ambacho daimond hana.au unataka awe bwabwa mwisho wa siku mumnyoshee vidole mtoto wa mwanamke mwenzenu?!.ebooo!,apambane kivyake.mbona prof jay kasimama japo hayuko kivile na team ruge.
kwa imani yetu muziki ni haram au uongo ?
Diamond atapaishwa bila kuwa mwanamuziki? ikiwa hivyo mbona hatumuoni ngafu kupaishwa? hata sijui ulichokiandika kina mantiki ipi!
Kwa mujibu wa imani yetu wewe unastahili kuchapwa bakora 57 kwa kusapoti mambo ya Haram. Ngoja nimuite sheikh.Wangeweza wangemgaragaza Lady JD kwanza.
Namshauri Diamond aonane na Lady JD haraka iwezekanavyo apate maujanja.
HUU HAPA UTHIBITISHO.Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza,Hapa Alikiba, anamwambia Diamond, nyumbani ( SHAROBARO RECORDS) kuna kila kitu, beats kali.....
Simkubali hata chembe diamondo
Kafanyiwa nini?Au jf members wote walikwenda kwenye hyo fiesta?
Diamond ndo mbunge wa wapi?
kwanini msiunganishe hizo nguvu kuondoa umasikini wa watanzania wengi kuliko kuhangaika na mtu mmoja?? hio waachie wapambe wake wote.
Alivyokua anaimba jana alikua anazomewa vibaya sana.... watu wanamshabikia Ali kiba huku Diamond yuko stejini
Anasema watu wangu wa kinondoni vipi watu Booooo.. ndio hujuma inaongelewa hiyo..
Utakapoacha kukurupuka kujibu ndipo utaiona hiyo mantiki vinginevo utakuwa unajibu kwa mhemuko siku zote