felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
- Thread starter
- #241
Hakuna faraja yoyote katika ULEVI ...huo ndio ukweli...hakuna justification yoyote unaweza kunipa maisha yako yote ku justify ULEVI, nature inaseema tunazaliwa tunaishi then tunakufa, Sasa kwamba ujue Kuna kufa ili upate justification ya kujiharibu afya yako uwe umekondeana kama njiti ya kibiriti,, hio haingii akilini, halafu yule aliekutengenezea wewe pombe unywe anaendelea kula vizuri anapata pesa anakua tajiri, hata kama atakufa kwa sababu zingine ila alichokua anakifanya kitaiacha familia salama hawatapata shida kama wewe kapuku unayekunywa Hadi unajinyea ukijua kua Kuna kufa unakufa unaiacha familia mzigo mzito, mzigo wa madeni, magonjwa ya zinaa mana ukiwa mlevi unatomba ovyo, mzigo wa watoto wa nje, tabu tupu...acha ULEVI.alaf anataka kuishi marefu wakati ugali wa kesho hajui atupataje