Mfilisiti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 396
- 1,958
Kwanza nianze kuwakaribisha wanywa Soda wenzangu kwenye hiki kikao chetu,
Ndugu wajumbe,kwanza nianze kwa kusema tumechelewa sana
1:Agenda ya kwanza ni Kufungua kikao
2:Agenda ya Pili ni Mzunguko wa pesa zetu ni mdogo sana(pesa inayopita mikononi mwetu ni mdogo sana)
3:Agenda ya tatu ni Uchoyo
4:Agenda ya nne ni Upotevu wa pesa zetu
5:Agenda ya Tano ni Ubahiri
6:Agenda ya sita ni Mengineyo.
Ndugu wajumbe tayari kikao chetu kishafunguliwa,moja kwa moja nianze na Agenda zilizopo mezani
Agenda ya Pili🙁Mzunguko wa pesa zetu ni mdogo sana)
Ndugu wajumbe kwanza nikiri kwamba wenzetu wanaomwagilia Moyo wametuzidi mbali sana,
Ni jambo la Kawaida sana wenzetu kumwagilia Moyo hata kreti mbili kwa siku huyu ni mtu mmoja,ila ikija kwetu sisi wanywa Soda zikizidi sana ni soda tatu,kukicha maisha yanaenda sawa sawa tu, kwanini Mzunguko wetu ni mdogo
Hivi tunakwama wapi Wajumbe????
Agenda ya tatu (Uchoyo)
Ndugu wajumbe ni nadra sana Sisi wanywa Soda kumnunulia mwenzako soda sita tu,ila wenzetu wanaukarimu sana wametuzidi mbali sana,Kila nipatapo nafasi hua natembelea sehemu za starehe,Mtu hakujui humjui lakini ukarimu wao ni Mkubwa sana,
Kwanini sisi sio wakarimu ndugu wajumbe???????
Agenda ya nne(Upotevu wa pesa zetu)
Ndugu wajumbe uchochoro wa pesa zetu zinakopotelea hakujulikani ni wapi ili Hali tunakua na akili timamu tu lakini pesa zetu hua hazionekani kama ni kuonga hata wenzetu wanaonga vile vile
Je pesa zetu hua zinaenda wapi wajumbe??????
Agenda ya Tano (Ubahiri)
Ndugu wajumbe sisi ni wabahiri sana ili Hali Ubahiri haujawahi kutufikisha popote,
Mtu anaenda ATM kutoa elfu kumi(10000/=)ndugu wajumbe sio kwamba huyu mtu kwenye akaunti mtu anakua hana hela 😀hapana ila tu ni kwamba yeye anaona ansave(Ubahiri) hadi familia inataabika kisa ubahiri usio na maana.
Ndugu wajumbe kwanini hatuwezi kuwanunulia wenzetu hata soda sita kwa mkupuo??????
Agenda ya sita ni Mengineyo.
Hapa wajumbe Naomba mtachangia na Mengineyo
Ila ndugu wajumbe wenzetu wanadai ukimwangalia Moyo unafungua mlango wa sita wa fahamu😀
Inabidi na sisi soda zifungue mlango wa saba
Nimetumia simu yangu kwenye typing hivyo kubold nimeshindwa,baadae nitabold kwa kutumia laptop
Karibuni wajumbe tuchangie maana tumechelewa sana ndugu zangu.