Wanywa ulanzi njoon huku jaman

mackney

Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
89
Reaction score
79
Hapa nilipo napiga ulanzi kukaribisha mwaka mpya, mana nimekulia kijijin mm sio wa bia. Napenda ulanzi kwa sababu ni mtamu pia ni cheap halafu ni original yangu.
Watu wananiona wa hali ya juu ila mm najiona kawaida hata kama nalipwa more than 1m.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahaya watakujibu iweeeee 1mil ni helaa ya kununulia whisky pale kwa mama Kokuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…