Hii picha hainichoshi,inafurahisha sana[emoji482][emoji482]View attachment 2070477
Nadhani hii bia imetengenezwa mahususi kwa wachaga maana ndio kabila linaloongoza kwa unywaji bia.Hellow JF.
Wanywaji na walevi heshima nyingi ziwafikie kwa sababu hata bia ipande bei kiasi gani hawa wadau huwa hawaachi kununua na ni miongoni mwa bidhaa inayofanya vizur kuchangia pato la Taifa.
Wakiwa katika harakati zao za kupata kilaji hutokea vituko vingi sana na popote alipo mlevi lazima pachangamke.
Tupia kapicha cha mlevi akifanya yake kuwakumbusha kuwa pombe sio supu.
View attachment 2070473View attachment 2070474
Kidogo afanane na mwanyekiti wa kile chama[emoji482][emoji482]View attachment 2070477
Huyu tangu makonda afyatuliwe nae kwisha umaarufu wake[emoji482][emoji482]View attachment 2070623
Umeua fire[emoji482][emoji482]View attachment 2072236