Wanywaji na walevi wakiwa kwenye harakati zao

Wanywaji na walevi wakiwa kwenye harakati zao

[emoji482][emoji481][emoji482]
FB_IMG_1647696961628.jpg
 
Hellow JF.

Wanywaji na walevi heshima nyingi ziwafikie kwa sababu hata bia ipande bei kiasi gani hawa wadau huwa hawaachi kununua na ni miongoni mwa bidhaa inayofanya vizur kuchangia pato la Taifa.

Wakiwa katika harakati zao za kupata kilaji hutokea vituko vingi sana na popote alipo mlevi lazima pachangamke.

Tupia kapicha cha mlevi akifanya yake kuwakumbusha kuwa pombe sio supu.
View attachment 2070473View attachment 2070474
Nadhani hii bia imetengenezwa mahususi kwa wachaga maana ndio kabila linaloongoza kwa unywaji bia.
 
Back
Top Bottom