[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]JE WAJUA, Utafiti Unaonyesha Asilimia 98 Ya Wanywaji Wa Savannah Hawanunui Kwa Pesa Yao Wenyewe?
AU WANAKUNYWA BALIMI AU SAFARI NDOGOJe wajua kuwa asilimia hiyo hiyo huwa wakikosa sponsor wa kununua Savannah huwa wanakopa Castle Lite?
Sio kweli mkuuJE WAJUA, Utafiti Unaonyesha Asilimia 98 Ya Wanywaji Wa Savannah Hawanunui Kwa Pesa Yao Wenyewe?
Wanao tegemea sponsor huwa wakikosa Savanna, wanahamia kwenye DesperadoJe wajua kuwa asilimia hiyo hiyo huwa wakikosa sponsor wa kununua Savannah huwa wanakopa Castle Lite?
sasa wananunuliwa auJE WAJUA, Utafiti Unaonyesha Asilimia 98 Ya Wanywaji Wa Savannah Hawanunui Kwa Pesa Yao Wenyewe?
Alafu nasikia wana cc kubwa kinoma wananyonya zutu kama majini [emoji23]Wanao tegemea sponsor huwa wakikosa Savanna, wanahamia kwenye Desperado
Wale hawafai kabisa mkuu, hata Mwajuma nichokonoe hawafikii wallah....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Alafu nasikia wana cc kubwa kinoma wananyonya zutu kama majini [emoji23]
Mmh...hamna banaJe wajua kuwa asilimia hiyo hiyo huwa wakikosa sponsor wa kununua Savannah huwa wanakopa Castle Lite?
Kweli tena.. Juzi hapa kuna jaama angu kakutana nae mmoja akajidai anakunywa savannah, kapiga mbili tatu kumbe kuna meza nyingine alikuwa anakunywa serengeti lite. Ila hawudumu huwa wanavumilia sana viroja.Mmh...hamna bana
HaaahaaaKweli tena.. Juzi hapa kuna jaama angu kakutana nae mmoja akajidai anakunywa savannah, kapiga mbili tatu kumbe kuna meza nyingine alikuwa anakunywa serengeti lite. Ila hawudumu huwa wanavumilia sana viroja.
Wewe huwa unakunywa ngani?Haaahaaa
Situmii pombe mkuuWewe huwa unakunywa ngani?