Wanywaji wa savannah

Wanywaji wa savannah

ahahahahaha..... na ile light yenye jina la mbuga ya wanyama
 
Hahahaha kweli na sio hizo asilimia ni 99.9%
 
Mmh...hamna bana
Kweli tena.. Juzi hapa kuna jaama angu kakutana nae mmoja akajidai anakunywa savannah, kapiga mbili tatu kumbe kuna meza nyingine alikuwa anakunywa serengeti lite. Ila hawudumu huwa wanavumilia sana viroja.
 
Hapana tunajinunulia kwa pesa zetu halafu Savanna hunywi nyingi tatu nne zinatosha kabisa
 
Back
Top Bottom