hesabu zao za kusaka vifaranga vya kiume ndo wanakosea... pombe yaishia tumboni.. mtoto atoka maunoni...!!!:frog:Nimejaribu kufanya kautafiti nina rafiki zangu zaidi ya 20 ni wanywaji wazuri wa pombe cha kushangaza hawa wadau wake zao karibia wote wamebahatika kupata watoto wa kike, je kuna konekesheni gani kati ya pombe na ujio wa hawa watoto, naomba jibu wanasayansi.
Je inabidi jamaa anapo taka mtoto wa kiume astaafu pombe kama mwezi hivi????
Wadau wa kaunta Asprin, Teamo, Fidel80, Kimey, GY, st.R.R, The Finest, Bigirita, Acid na wengineo michango yenu muhimu jamani kwa hili.
Nawakilisha.
Nimejaribu kufanya kautafiti nina rafiki zangu zaidi ya 20 ni wanywaji wazuri wa pombe cha kushangaza hawa wadau wake zao karibia wote wamebahatika kupata watoto wa kike, je kuna konekesheni gani kati ya pombe na ujio wa hawa watoto, naomba jibu wanasayansi.

hesabu zao za kusaka vifaranga vya kiume ndo wanakosea... pombe yaishia tumboni.. mtoto atoka maunoni...!!!:frog:
Nimejaribu kufanya kautafiti nina rafiki zangu zaidi ya 20 ni wanywaji wazuri wa pombe cha kushangaza hawa wadau wake zao karibia wote wamebahatika kupata watoto wa kike, je kuna konekesheni gani kati ya pombe na ujio wa hawa watoto, naomba jibu wanasayansi.
Je inabidi jamaa anapo taka mtoto wa kiume astaafu pombe kama mwezi hivi????
Wadau wa kaunta Asprin, Teamo, Fidel80, Kimey, GY, st.R.R, The Finest, Bigirita, Acid na wengineo michango yenu muhimu jamani kwa hili.
Nawakilisha.
Hahahaha mkuu unajua ukiwa tungi ukifika dah unapalamia tu cha kushangaza unaweza piga na usingizi kifuani.
Mi napiga ulabu asee. Na watoto wangu wote wawili ni mademu. Hii haimaanishi ntaacha kupiga ulabu.
Aftaroo watoto wa kike ni dili. Wakiolewa unaanza kuuza asset kidogokidogo unaenda hanemuni na mama yao. Ya kiume yanakudai mpaka vitanda na magodoro yake.
Hahahaha mkuu unajua ukiwa tungi ukifika dah unapalamia tu cha kushangaza unaweza piga na usingizi kifuani.
Ndo hapo nnaposema hesabu zinakuwa mbovu...!! kama unataka dume.... hata ukiwa BWAX... lazima ile siku ya siku unatupa kombora lilotengenezwa na supu ya mchicha, kitunguu saumu, pweza, ngisi na asali... ikisakafiwa na mzinga wa Konyagi!!:tongue:Hahahaha mkuu unajua ukiwa tungi ukifika dah unapalamia tu cha kushangaza unaweza piga na usingizi kifuani.
mkulu kuna ka ukweli lakini....Hahahaha! Umeua mazima, unapiga usingizi na baioloji iko kwenye kikojoleo? Hapo lazima kazaliwe kabinti asee.
Hiyo ni hatari tupu!!! Lakini kama kuna ka ukweli vile!??
Hahahaha! Umeua mazima, unapiga usingizi na baioloji iko kwenye kikojoleo? Hapo lazima kazaliwe kabinti asee.
Mi napiga ulabu asee. Na watoto wangu wote wawili ni mademu. Hii haimaanishi ntaacha kupiga ulabu.
Aftaroo watoto wa kike ni dili. Wakiolewa unaanza kuuza asset kidogokidogo unaenda hanemuni na mama yao. Ya kiume yanakudai mpaka vitanda na magodoro yake.
Ndo hapo nnaposema hesabu zinakuwa mbovu...!! kama unataka dume.... hata ukiwa BWAX... lazima ile siku ya siku unatupa kombora lilotengenezwa na supu ya mchicha, kitunguu saumu, pweza, ngisi na asali... ikisakafiwa na mzinga wa Konyagi!!:tongue:
Nasikia watoto wa kike ni wepesi sana kukumbuka wazazi wao kuliko wa kiume ni kweli?
Unscientific!
Kuna jamii zinazoeleweka kwa kunywa saaana, tungetegemea kupata watoto wa kike tu kwenye jamii hizo. Na kuna jamii zingine ambazo kwa tamaduni zao pombe ni za shida au ni kwa wizi tu, tungetegemea jamii hizo kuwa na watoto wa kiume tu!