Wanywaji wengi wanabahatika kupata watoto wa kike

Wanywaji wengi wanabahatika kupata watoto wa kike

Hilo halina ubishi. Namwona wife anavyomhangaikia baba yake wakati kaka zao wako bize na mabaamedi.

Hahahaha hata suit za sikukuu watoto wa kike wanawakumbuka sana wazazi wao
 
Nasikia watoto wa kike ni wepesi sana kukumbuka wazazi wao kuliko wa kiume ni kweli?

Ni kweli aisee....nina wa kiume wawili....hapa nasaka wa kike kwa udi na uvumba...hata magomeni ntaenda....
 
Nimejaribu kufanya kautafiti nina rafiki zangu zaidi ya 20 ni wanywaji wazuri wa pombe cha kushangaza hawa wadau wake zao karibia wote wamebahatika kupata watoto wa kike, je kuna konekesheni gani kati ya pombe na ujio wa hawa watoto, naomba jibu wanasayansi.
Je inabidi jamaa anapo taka mtoto wa kiume astaafu pombe kama mwezi hivi????
Wadau wa kaunta Asprin, Teamo, Fidel80, Kimey, GY, st.R.R, The Finest, Bigirita, Acid na wengineo michango yenu muhimu jamani kwa hili.
Nawakilisha.

Ukweli upo - last born wa BabaE ni binti she is one year old - na nikifanya mahesabu ya haraka haraka (-14months hivi) nilipewa nishani na Serengeti Breweries pale JJ Bar Sinza na TDL pale Rombo Sinza! kha!
 
Kwa hiyo wakati natafuta kabinti kwa kunitunza uzeeni nipige ulabu wa kutosha sio........nafanya booking brewariz kabisa....
 
Huyu muanzisha thread na wasiwasi nae kama alisikia vile tukijadiliiiiiiiii?? Asprin hebu nambie Babu yangu
 
Ni kweli aisee....nina wa kiume wawili....hapa nasaka wa kike kwa udi na uvumba...hata magomeni ntaenda....

Hahahaha inabidi uongeze speed au uhamie kwenye Safari Lager kabisa
 
Huyu muanzisha thread na wasiwasi nae kama alisikia vile tukijadiliiiiiiiii?? Asprin hebu nambie Babu yangu

Hata mm kumbukumbu zangu zinanipeleka huko huko kama sikosei

Pole na majukumu lakini>?
 
Hilo halina ubishi. Namwona wife anavyomhangaikia baba yake wakati kaka zao wako bize na mabaamedi.

Kabisa mtoto wa kike lazima ukumbuke home bwana sio kuwaza kina nanihiii wa pale nanihiii
 
Hata mm kumbukumbu zangu zinanipeleka huko huko kama sikosei

Pole na majukumu lakini>?

Asante bwana ndo kazi. Umekumbuka eeehhh nahisi alikuwepo au ana ID mbili maana ni kama copy and paste without edit
 
Asante bwana ndo kazi. Umekumbuka eeehhh nahisi alikuwepo au ana ID mbili maana ni kama copy and paste without edit

Haswaa alafu yawezekana wale walio kuwa meza ya jilani nn maana ni kitambo toka tujadili alafu kitu imewekwa leo hii
 
Naweka balimi na eagle.....na bingwa....na kiki.....!
Hadi bafuni naenda na chupa....

Hahahaha babu angalia usije dondoka bafuni nasikia kuna majini huko..

Mziki wa Eagle nasikia ni balaa ukipiga dah mwisho 4
 
Haswaa alafu yawezekana wale walio kuwa meza ya jilani nn maana ni kitambo toka tujadili alafu kitu imewekwa leo hii

Nahisi waliondoka kwenda kula sikukuu kulikuwa hakuna mtandao ndo wamerudi na kurusha mapemaaaaa
 
Back
Top Bottom