Wanzibari igeni Bara kuondosha makelele Mjini (noise nuisance)

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,605
Reaction score
1,085
Zanzibar is a tourist destination, however the level of noise is intolerable.
Nimelala hapo Maisara kesho yake nikafungisha virago. Makelele ya miziki toka hizo kumbi za CheCheMe Maisara, Kilimani, Gofu na Gynkana Club ni shida, tena washindana. Pili milio ya bodaboda usiku kucha ni kero hasaaa. Mtaua utalii. Njooni ng'ambo huku tuwatie skuli.
 
Kipi kilichotangulia kati ya lodge na ukumbi wa gymkhana?

Tuanzie hapo kwanza
 
Nimelala hapo Kilimani mbona hakukuwa na kelele na nikaona zenji kumetulia mno
 
Wewe ni raia wa Tanzania?
 
Nimelala hapo Kilimani mbona hakukuwa na kelele na nikaona zenji kumetulia mno
tunatofautiana usikivu. Bendi inapiga hapo weekend zote na pia mziki wa DJ up 5/7 days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…