Mchepuko1 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 215 Reaction score 103 Oct 12, 2018 #1 Wale waoga wa kutembea usiku bado npo.mie nilisha acha kitambo ilikuwa nikitumwa usiku dukani yaani inakuwa kama wajatuma mtu wanakuwa wametuma felali ni balaa
Wale waoga wa kutembea usiku bado npo.mie nilisha acha kitambo ilikuwa nikitumwa usiku dukani yaani inakuwa kama wajatuma mtu wanakuwa wametuma felali ni balaa
Mchepuko1 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 215 Reaction score 103 Oct 12, 2018 Thread starter #2 Da'Vinci said: Nitumwe dukani usiku hafu nikimuwaza Predeta Wa anodi + Shumileta nilikua napaa kabisa Click to expand... Haahaaaa mie lile limuv LA shumileta
Da'Vinci said: Nitumwe dukani usiku hafu nikimuwaza Predeta Wa anodi + Shumileta nilikua napaa kabisa Click to expand... Haahaaaa mie lile limuv LA shumileta
Barieda JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 1,808 Reaction score 2,470 Oct 12, 2018 #3 Wasukuma tusivyopenda ugomvi tunasemaga ( Ni kaya ya gh'wobha nayo kaya) tukimaanisha na kaya ya mwoga nayo ni kaya, Karibuni bariadi-simiyu.
Wasukuma tusivyopenda ugomvi tunasemaga ( Ni kaya ya gh'wobha nayo kaya) tukimaanisha na kaya ya mwoga nayo ni kaya, Karibuni bariadi-simiyu.
Mchepuko1 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 215 Reaction score 103 Oct 12, 2018 Thread starter #4 Barieda said: Wasukuma tusivyopenda ugomvi tunasemaga ( Ni kaya ya gh'wobha nayo kaya) tukimaanisha na kaya ya mwoga nayo ni kaya, Karibuni bariadi-simiyu. Click to expand... Asante
Barieda said: Wasukuma tusivyopenda ugomvi tunasemaga ( Ni kaya ya gh'wobha nayo kaya) tukimaanisha na kaya ya mwoga nayo ni kaya, Karibuni bariadi-simiyu. Click to expand... Asante
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,673 Reaction score 5,402 Oct 12, 2018 #5 Nimejikuta nacheka kwa sauti ndani ya daladala dooooh!
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,211 Reaction score 12,538 Oct 12, 2018 #6 uoga wangu upo katika kishimo uterezi, unakuta mtoto mdogo ananuka harufu ya kikubwa
Jimmie Gatsby JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 3,587 Reaction score 7,272 Oct 12, 2018 #7 mbwa asiye wangu...... aaaaah huyu mnyama namfuga ila akiwa tu siyo wangu baaaaasi siwezi msogelea maana najua balaa lake
mbwa asiye wangu...... aaaaah huyu mnyama namfuga ila akiwa tu siyo wangu baaaaasi siwezi msogelea maana najua balaa lake