Waoga karibuni

Waoga karibuni

Mchepuko1

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
215
Reaction score
103
Wale waoga wa kutembea usiku bado npo.mie nilisha acha kitambo ilikuwa nikitumwa usiku dukani yaani inakuwa kama wajatuma mtu wanakuwa wametuma felali ni balaa
 
Wasukuma tusivyopenda ugomvi tunasemaga ( Ni kaya ya gh'wobha nayo kaya) tukimaanisha na kaya ya mwoga nayo ni kaya, Karibuni bariadi-simiyu.
 
Nimejikuta nacheka kwa sauti ndani ya daladala dooooh!
 
uoga wangu upo katika kishimo uterezi, unakuta mtoto mdogo ananuka harufu ya kikubwa
 
mbwa asiye wangu...... aaaaah huyu mnyama namfuga ila akiwa tu siyo wangu baaaaasi siwezi msogelea maana najua balaa lake
 
Back
Top Bottom