#COVID19 Waoga wa Sindano: Mikakati gani tutumie kuchanjwa?

#COVID19 Waoga wa Sindano: Mikakati gani tutumie kuchanjwa?

Mchomaji anapaswa kukutaaru kabla ya kukuchoma kuwa utasikia maumivu kama mchubuko mkali. Hii inasaidia kukusndaa kisaikolojia.
 
1) Tuondoe haja ya kujaza consent form. Hii inaweza kuwa "inatisha watu". Mbona watu wanadungwa chanjo nyingine (yellow fever, chanjo ya homa ya ini etc bila kujaza form yoyote na hakuna anayelalamika?

2) Wizara ifanye promotional campaigns na kusambaza vipeperushi vyenye ufafanuzi wa baadhi ya maswali/myths kuhusu hii chanjo.
 
Ishu ni pale mwanzo unapomuona daktari anakuja na kale ka chupa, anatikisa tikisa, anakufuta na pamba...! Yaani hicho kitendo utaona kama ni saa nzima imepita [emoji3] mpaka hapo unakua umeshasali sala zote ndani ya hizo sekunde chache..

[emoji23][emoji23] huyo ni mimi
 
1) Tuondoe haja ya kujaza consent form. Hii inaweza kuwa "inatisha watu". Mbona watu wanadungwa chanjo nyingine (yellow fever, chanjo ya homa ya ini etc bila kujaza form yoyote na hakuna anayelalamika?

2) Wizara ifanye promotional campaigns na kusambaza vipeperushi vyenye ufafanuzi wa baadhi ya maswali/myths kuhusu hii chanjo.
3) Ina maana wanasayansi na teknolijia yote ya kwenda mpaka sayari ya Mars kweli wameshindwa kuweka hii chanjo kwenye kidonge kweli? 💊🙄
 
[emoji23][emoji23] huyo ni mimi

Nashauri madaktari nao waache mbwembwe bana. Ilitakiwa mtu ukifika pale yani kabla hujakaa unachapwa kitu chwaaaaaa...!!

Ukija kushtuka tayari watu wanaita neext! Sasa mpaka waanze kukuongelesha ongelesha, mara kushikashika ile sindano, mara sijui nini yaani mi utanikuta tu sipo 😂😂
 
Kila kazi ina swaga zake. Kikubwa siku ukienda kuchoma hiyo kitu ni kuzipotezea hizo swaga zao. We wasusie bega, fumba macho au tazama upande mwingine!
 
Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado nambwelambwela kwenda kuchanjwa kisa tu naogopa ile sindano. Kama mliona ile video ya mwanajeshi aliepelekwa kuchanjwa na kundi la wenzake kama 9 wamemshikilia na bado akawaponyoka na kukimbia, basi huyo ni mimi kabisaa..!![emoji1787]

Sasa naomba kuuliza kwa wale ambao mmeshachanjwa hebu tupeni uzoefu hapa, je inauma? Au ni chwaaa... Imeisha iyo! Hapa nilipo sijawahi kuchoma chanjo yoyote pamoja na kuletewa chanjo izo bure kabisa kisa ni uoga. Najua tupo wengi kwenye hili kundi japo mwenzetu mmoja ambae ni mkuu wa wilaya yeye tayari. Hebu tupeane akili hapa jinsi ya kuovercome huu uoga au mbinu gani tutumie?

Mwisho naiomba serikali iangalie uwezekano wa kutuletea chanjo za vidonge ione jinsi watu watakavyofurika kuchanja. Zikipatikana za kupaka pia itasaidia sana. Ieleweke uoga wa sindano ni "phobia" kama ilivyo uoga wa nyoka, tandu, vinyonga, nge, heights nk.
Usijali nipo maabara, natengeneza chanjo ya matone !!
 
Namshukuru Mungu hili janga nalo limepita bila kuchanja.. 😄
 
Ishu ni pale mwanzo unapomuona daktari anakuja na kale ka chupa, anatikisa tikisa, anakufuta na pamba...! Yaani hicho kitendo utaona kama ni saa nzima imepita 😀 mpaka hapo unakua umeshasali sala zote ndani ya hizo sekunde chache..

Daktari wa namna hii ndio wanaofaa..😂
 
Back
Top Bottom