#COVID19 Waoga wa Sindano: Mikakati gani tutumie kuchanjwa?

Mchomaji anapaswa kukutaaru kabla ya kukuchoma kuwa utasikia maumivu kama mchubuko mkali. Hii inasaidia kukusndaa kisaikolojia.
 
1) Tuondoe haja ya kujaza consent form. Hii inaweza kuwa "inatisha watu". Mbona watu wanadungwa chanjo nyingine (yellow fever, chanjo ya homa ya ini etc bila kujaza form yoyote na hakuna anayelalamika?

2) Wizara ifanye promotional campaigns na kusambaza vipeperushi vyenye ufafanuzi wa baadhi ya maswali/myths kuhusu hii chanjo.
 
Ishu ni pale mwanzo unapomuona daktari anakuja na kale ka chupa, anatikisa tikisa, anakufuta na pamba...! Yaani hicho kitendo utaona kama ni saa nzima imepita [emoji3] mpaka hapo unakua umeshasali sala zote ndani ya hizo sekunde chache..

[emoji23][emoji23] huyo ni mimi
 
3) Ina maana wanasayansi na teknolijia yote ya kwenda mpaka sayari ya Mars kweli wameshindwa kuweka hii chanjo kwenye kidonge kweli? πŸ’ŠπŸ™„
 
[emoji23][emoji23] huyo ni mimi

Nashauri madaktari nao waache mbwembwe bana. Ilitakiwa mtu ukifika pale yani kabla hujakaa unachapwa kitu chwaaaaaa...!!

Ukija kushtuka tayari watu wanaita neext! Sasa mpaka waanze kukuongelesha ongelesha, mara kushikashika ile sindano, mara sijui nini yaani mi utanikuta tu sipo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila kazi ina swaga zake. Kikubwa siku ukienda kuchoma hiyo kitu ni kuzipotezea hizo swaga zao. We wasusie bega, fumba macho au tazama upande mwingine!
 
Usijali nipo maabara, natengeneza chanjo ya matone !!
 
Namshukuru Mungu hili janga nalo limepita bila kuchanja.. πŸ˜„
 
Ishu ni pale mwanzo unapomuona daktari anakuja na kale ka chupa, anatikisa tikisa, anakufuta na pamba...! Yaani hicho kitendo utaona kama ni saa nzima imepita πŸ˜€ mpaka hapo unakua umeshasali sala zote ndani ya hizo sekunde chache..
Your browser is not able to display this video.


Daktari wa namna hii ndio wanaofaa..πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…