Watu wenye kutupia mavazi ma scarf na viwalo kujinadi uzalendo kama hivi:
Ni wa kuogopa kuliko ukoma. Nyerere (rip) asinge wastahi majizi yote yajifichayo kwa kutanguliza dhana ya uzalendo mbele.
Aliyetupia hivi:
Aweza kuwa mzalendo sana kuliko wengi waliitalo jina bwana bwana hao.
Hatuuhitaji usanii wao kuujua uzalendo wa mtu.
Mwenye macho haambiwi tazama!