B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Apr 9, 2023 #1 Watu wenye kutupia mavazi ma scarf na viwalo kujinadi uzalendo kama hivi: Ni wa kuogopa kuliko ukoma. Nyerere (rip) asinge wastahi majizi yote yajifichayo kwa kutanguliza dhana ya uzalendo mbele. Aliyetupia hivi: Aweza kuwa mzalendo sana kuliko wengi waliitalo jina bwana bwana hao. Hatuuhitaji usanii wao kuujua uzalendo wa mtu. Mwenye macho haambiwi tazama!
Watu wenye kutupia mavazi ma scarf na viwalo kujinadi uzalendo kama hivi: Ni wa kuogopa kuliko ukoma. Nyerere (rip) asinge wastahi majizi yote yajifichayo kwa kutanguliza dhana ya uzalendo mbele. Aliyetupia hivi: Aweza kuwa mzalendo sana kuliko wengi waliitalo jina bwana bwana hao. Hatuuhitaji usanii wao kuujua uzalendo wa mtu. Mwenye macho haambiwi tazama!