Waomba ajira huumia sana wakati majina ya waliopata ajira yanapotoka

Waomba ajira huumia sana wakati majina ya waliopata ajira yanapotoka

New Eyes

Member
Joined
Feb 2, 2022
Posts
5
Reaction score
4
Waomba ajira huumia sana wakati majina ya waliopata ajira yanapotoka. Unakuta tangazo la ajira lilikuwa linataka wanaotakiwa kutuma maombi waliomaliza kuanzia 2012 had 2019 lakini utakuta baadhi ya waliopata ajira wamehitimu 2020 had 2021 na waliomaliza ndani ya miaka husika wamekosa.
 
Mimi nilikuwa nawashauri nawaambia msiwe na matumaini makubwa lakini walikuwa hawanielewi
 
Back
Top Bottom