Waombaji wa kazi za Kada ya Afya TAMISEMI, kuna tatizo kwenye mfumo wa maombi ya ajira

Waombaji wa kazi za Kada ya Afya TAMISEMI, kuna tatizo kwenye mfumo wa maombi ya ajira

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Hili tatizo tangu mfumo ufunguliwe! Ni nani ameshafaulu hapa?

Kwenye kuchagua mahala pa kufanyia kazi hapafunguki kabisa.

Screenshot_20220425-051016_Chrome.jpg
 
Moderator naomba uzi kama hizi zikusanywe ziwekwe sehemu moja kule kwenye uzi wa changamoto za ajira za Ualimu na afya, kwasababu sasa hivi mtu akipata shida ndogo tuu bc anapandisha uzi wakati tayari kuna uzi unafafanua mambo yote hayo ila kwakuwa baadhi ya watu ni wavivu wanashindwa kuufatilia ule uzi.

Moderator
 
Back
Top Bottom