waombaji wa vyuo vya afya

ISHUNGISA

Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
9
Reaction score
1
Wadau wa JF, naomba kuwaulizeni kuhusu waombaji wa vyuo vya afya kupitia tangazo la serikali la wizara ya afya na usitawi wa jamii. watu tulituma maombi siku nyingi lakini naona hakuna majibu. Kuna mtu kaniaambia kuwa majina hayo yametoka lakini nimetafuta kwenye website ya wizara ambayo ni www.moh.go.tz sijapata majina hayo. Naomba kama mdau, kama habari hizi na za kweli nisaidieni kujua wapi majina haya yanapatikana. make nimesubiri majina hayo wadau......
 
Majina bado hayajatoka Kwa waliochaguliwa.vp mwenzangu Umeomba nini? mi nimeomba diploma ya co na midical lab
 
Poa wadau naamni majina hayo yakitoka tutajulishana tu nashukuru kwa ushirikiano wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…