Mtoto katika elimu
Member
- Jan 15, 2025
- 11
- 10
HESHIMA KWENU
kupitia maisha ya kila siku ni kweli kuwa jina hali define hatima wala halileti hela.
ila kwenye dini zote tunasisitizwa IMANI MOVES MLIMA , tunaweza kuinvest majina kwa watoto wetu kwa nia ya dua, just believe and pray kwamba nampa jina hili linalomaanisha hivyi kama dua yangu kwake, koo yoyote atakaemuita ni anachangia percent kwenye dua yako.
Ukishamalizana na jina endelea kuwekeza kwenye vingine kama elimu nk
CHEKI HIZI PICHA