Waombolezaji wamzomea Museveni wamwambia "Tumekuchoka".

Haki Huinua Taifa Bali Dhambi Ni Aibu Kwa Watu Wote
 
Msemaji wa jeshi la polisi la Uganda Emilian Kayima amekanusha tukio la jeshi la polisi kufurumushwa kwa mawe na wananchi wenye hasira kali msibani, amesema walikuwa wanakimbia MVUA tu.

"No one chased us at Kirumira's burial, it was just threatening to rain and i vanished" Amesema Emilian Kayima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] my ribs!
 
Jiwe ajiandae siku tukianza kudai makabuli ya akina azori Ben saanane na wanaojulikana waliomumiminia lisu lisasi utafikili tembo atajua Chato sio jiji
 
M7 mwisho wa utawala wake utakuwa mbaya saana; note my word's.
 
Msemaji wa jeshi la polisi la Uganda Emilian Kayima amekanusha tukio la jeshi la polisi kufurumushwa kwa mawe na wananchi wenye hasira kali msibani, amesema walikuwa wanakimbia MVUA tu.

"No one chased us at Kirumira's burial, it was just threatening to rain and i vanished" Amesema Emilian Kayima.
Hahahaa, vanished to where, mpaka nimekumbuka kitabu cha "the vanishing shadow"
 
Back
Top Bottom