Waombolezaji wasambaratika kwa hofu baada ya mtu aliyedhaniwa amekufa kuibukia msibani

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Wakazi wa kijiji cha Marindi huko Kaunti ya Migori walipaniki na kuchanganyikiwa baada mwanaume wa miaka 35 ambaye aliaminika kuwa amefariki kuibukia msibani nyumbani kwake ghafla

Familia ya mwanaume huyo walikuwa wakimalizia mipango ya mazishi ndipo Okelo Nyamwaga alipojitokeza

Kufika kwake huko kusikotarajiwa kulileta hofu na furaha katika familia yake na marafiki na waombolezaji wengine kukimbia

Nyamwaga alikuwa amepotea kwa miezi miwili na familia yake ilipoteza matumaini ya kumpata akiwa hai

Wiki moja iliyopita marafiki wa Nyamwanga walisema mwili wake ukiwa umeharibika ulikuwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Migori

Mwili huo uliokotwa mtoni ukiwa umeharibika na kupelekwa mochwari

Baba yake Nyamwanga alisema alitembelea mochwari mara kadhaa ili kuutambua mwili uliodaiwa kuwa ni wa mwanae lakini akashindwa kutokana na mwili huo kuwa umeharibika sana na aliamini ni wa mwanae kutokana na kushawishiwa na mfanyakazi wa mochwari hiyo




=====================================================
Confusion and panic gripped residents of Marindi Village in Suna West Constituency, Migori County, on Tuesday evening, when a 35-year-old man, who was believed to be dead, arrived unexpectedly at a funeral meeting at their home.

The man’s family was finalizing his burial arrangement on January 16, when Nicholous Okelo Nyamwanga showed up at his parents’ home.

His unexpected arrival at his own wake, sparked terror and then delight among his family and friends. Some mourners fled the funeral meeting in panic.

Nyamwanga had gone missing from home two months ago, and his family members had given up on finding him alive.

One week ago, Nyamwanga’s close friends informed his family members that his decomposing body had been spotted preserved at Migori Level Four Hospital mortuary.

They alleged Nyamwanga’s body was moved to the morgue after being retrieved from River Migori.

Nyamwanga’s father, Francis Nyamwanga, said he had visited the mortuary several times to identify the body of his son, but his attempts proved futile, given the decomposed state of the body he was scrutinising.

“I was convinced into believing the body I suspected to be my son’s was indeed his. The mortuary attendant influenced that decision,” said Francis Nyamwanga.

The tricenarian’s father said they had planned to pick the body from mortuary on Thursday, January 18 ahead of his burial, which was penciled in for Friday, January 19.

Francis Nyamwanga said horrified mourners, including the man’s wife and relatives, fled the funeral meeting.

“They later returned, and were happy to reunite with my son,” said Francis.

Francis added that his son was “shocked” to discover that his family members were organizing his burial, yet he was alive.

“The discovery shocked him. He is yet to come to his senses,” said Francis.


Source: E Daily
 
afu mbona Kenya kuna vituko sana?? kwa nn??yan kuna mambo ya ajabu ajabu..Mara ooh mtu kapelekwa mahakamani kisa kabaka mbuzi,Mara yesu sijui musa kaonekana mitaa gani sijui Kule Nairobi siku ya krismasi,mara mwanamke kashika bango mtaan anatafuta mume,mwingine kajinyonga kisa arsenal imefungwa huko london,Mara ooh mwanaume wa Kenya kapigwa na mkewe n.k...kwani huko wanaishi watu au mazombie????
 
Hivi Odinga atapishiwa kwenye ukumbi upi?!!!
 
Huo ndo uhuru walionao waandishi wa habari Kenya. Ngumu sana kwa mtz kuelewa. Bongo hata kuripoti tu kuhusu expansion joint ni shida hata mwanamke kupigwa picha na kapichu tu ni shida. We fikiria mwanahabari akiripoti kuhusu albino kugeuza kitoweo? Labda ahamie Lesotho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…