Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Sasa kaka msiba wako weŵ tukaweke karimjee kweli si matumiza mabaya ya fedhahata utaratibu wa kufanya misiba ya halaiki kwenye viwanja vya mipira, karimjee, diamond jubilee, utaenda utakufa.
Msiba kama huo wa kadi nilishuhudia gangilonga iringa jiran alipofiwaUtaratibu mzuri sana, nchi za nje nadhani mazishi huwa kunakuwa na privacy sana, sina hakika nadhani misiba mingine wanatoa na kadi ya mwaliko mkuu Kiranga unaweza kunipa elimu juu ya hili
Sielewi, mfano hisia gani?!!!Safi ni muhimu kulinda privacy ya marehemu na pia kuepusha hisia za dhambi zinazoweza kutoka kwa baadhi ya waombolezaji.
Tufike mahala tuone kifo ni kitu cha kawaida tu, na mtu akifika ikithibitika amekufa aandaliwe kwa taratibu zote na kuzikwa faster watu watawanyike wakafanye mambo mengine na kuiondolea mzigo familia ya marehemu.
Sielewi, mfano hisia gani?!!!
Walisusa??Baada ya taarifa hiyo, baadhi ya waombolezaji walianza kuondoka kabla ya kuanza kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu.