Waombolezaji watoa Heshima za Mwisho wa Mwigizaji Grace Mapunda (Tessa) bila kufunguliwa Jeneza

Waombolezaji watoa Heshima za Mwisho wa Mwigizaji Grace Mapunda (Tessa) bila kufunguliwa Jeneza

Safi sana...udaku kwenye mwili wa marehemu wakome..
 
Marehem akufakufaje Wakuu?
Huu utaratibu ni mzuri ikiwa hakuna jambo jingine nyuma ya pazia isijekua kazikwa FaizaFoxy nyie mnasema ni Grace au hajafa kabisa ndugu wanaforge kifo cha mharifu.
 
Back
Top Bottom