Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,942 Reaction score 4,230 Nov 4, 2024 #21 Mwachiluwi said: Msiba kama huo wa kadi nilishuhudia gangilonga iringa jiran alipofiwa Click to expand... Aisee kumbe mambo haya mpaka bongo yapo mkuu?
Mwachiluwi said: Msiba kama huo wa kadi nilishuhudia gangilonga iringa jiran alipofiwa Click to expand... Aisee kumbe mambo haya mpaka bongo yapo mkuu?
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 997 Reaction score 1,220 Nov 4, 2024 #22 Nangu Nyau said: Marehemu anaweza kuwa mpenzi wako, ukawaza mliyokuwa mnafanya gizani yakakupa hisia mbaya. Muonekano wa marehemu unaweza kukupa hisia ya aina ya kifo alichokufa halafu ikawa sivyo pia. Nk. Click to expand... Ahsante sana!!
Nangu Nyau said: Marehemu anaweza kuwa mpenzi wako, ukawaza mliyokuwa mnafanya gizani yakakupa hisia mbaya. Muonekano wa marehemu unaweza kukupa hisia ya aina ya kifo alichokufa halafu ikawa sivyo pia. Nk. Click to expand... Ahsante sana!!
milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,045 Reaction score 8,080 Nov 4, 2024 #23 Ila ukimwi ni shida
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Nov 4, 2024 #24 Safi sana...udaku kwenye mwili wa marehemu wakome..
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Nov 4, 2024 #25 Sangizi said: Aisee kumbe mambo haya mpaka bongo yapo mkuu? Click to expand... Yapo tembea uone na getin kulikuwa na mlizi kabisa
Sangizi said: Aisee kumbe mambo haya mpaka bongo yapo mkuu? Click to expand... Yapo tembea uone na getin kulikuwa na mlizi kabisa
Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 916 Reaction score 1,363 Nov 4, 2024 #26 Marehem akufakufaje Wakuu? Huu utaratibu ni mzuri ikiwa hakuna jambo jingine nyuma ya pazia isijekua kazikwa FaizaFoxy nyie mnasema ni Grace au hajafa kabisa ndugu wanaforge kifo cha mharifu.
Marehem akufakufaje Wakuu? Huu utaratibu ni mzuri ikiwa hakuna jambo jingine nyuma ya pazia isijekua kazikwa FaizaFoxy nyie mnasema ni Grace au hajafa kabisa ndugu wanaforge kifo cha mharifu.
C Conquistador JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 1,435 Reaction score 3,463 Nov 4, 2024 #27 Amezikwa Dar?