Waondokewa na 'HIV baada ya upasuaji'.

Waondokewa na 'HIV baada ya upasuaji'.

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,060
Reaction score
309
Wagonjwa wawili wameondolewa bughdha ya kutumia
madawa ya kupunguza makali ya ukimwi maishani mwao
baada ya kufanyiwa upasuaji na kupandikiziwa uboho au
(Bone marrow), hatua inayosemekana kuondoa virusi vya HIV
mwilini mwao. Mgonjwa mmoja amesemekana kukaa kwa miezi minne bila
ya kutumia madawa ya kupunguza makali ya ukimwi bila ya
dalili ya kurejea kwa uogonjwa huo. Madaktai waliofanya utafiti huo katika hospitali ya matibabu
kwa wanawake ya Brigham nchini Marekani, wanasema ni
mapema mno kuzungumzia uwezekano wa kutibu virusi
hivyo kwani kuna unawezekano vinweza kurejea wakati
wowote. Matojeo ya utafiti huo yaliwasilishwa katika mkutano wa
kimataifa kuhusu maswala ya Ukimwi. Ni vigumu sana kutibu Ukimwi, kwa sababu hujifificha ndani
ya DNA,ya mtu na hivyo kusababisha virusi sigu ambavyo
haziwezi kutibika. Madawa ya kupunguza makali ya virusi vya HIV hudhibiti
virusi hivyo ndani ya damu lakini wakati mtu anapokosa
kumeza dawa hizo, virusi hurejea. HIV imeangamizwa? Wanaume hao ambao hawajatajwa, wameishi na virusi hivyo
kwa takriban miaka 30. Wote walikuwa wanaugua aina ya saratani, aina ya
lymphoma, ambayo ilihitaji wafanyiwe upasuaji. Seheu ya Uboho au Bone marrow ndipo celi mpya z adamu
hutengezwa mwislini na inaaminika kuwa kitovu cha virusi
vya HIV mwilini. Baada ya kufanyiwa upasuaji, hapakuwa na virusi mwilini
kwa miaka miwili kwa mgonjwa mmoja wakati mwingine
aliishi kwa miaka minne bila ya virusi kuonekana . Ni mapema mno kuona uoasuaji huo kama tiba ya ukiwmi na
hata ikiwa itasemekana kuwa tiba basi sio tiba nzuri. Ni ghali
mno na kwa baadhi ya wagonjwa kuna uwezekano wa
kufariki ikiwa ni kwa asilimia15 hadi 20% kwa miaka ya
kwanza baada ya kufanyiwa upasuaji. Wagonjwa hao sasa hawatumii tena dawa za kupunguza
makali ya ukimwi. Upasuaji huu ulifanyiwa wagonjwa hao
kwa sababu wlaikuwa wanaugua saratani iliyohitaji
matibabu. Mgonjwa mmoja amesemekana kukaa kwa miezi minne bila
ya kutumia madawa ya kupunguza makali ya ukimwi bila ya
dalili ya kurejea kwa uogonjwa huo. Madaktari waliofanya utafiti huo katika hospitali ya
matibabu kwa wanawake ya Brigham nchini Marekani,
wanasema ni mapema mno kuzungumzia uwezekano wa
kutibu virusi hivyo kwani kuna vinaweza kurejea wakati
wowote. Matokeo ya utafiti huo yaliwasilishwa katika mkutano wa
kimataifa kuhusu maswala ya Ukimwi. Ni vigumu sana kutibu Ukimwi, kwa sababu virusi hujifificha
ndani ya DNA,ya mtu na hivyo kusababisha virusi sugu
ambavyo haviwezi kutibika. Madawa ya kupunguza makali ya virusi vya HIV hudhibiti
virusi hivyo ndani ya damu lakini wakati mtu anapokosa
kumeza dawa hizo, virusi hurejea. HIV imeangamizwa? Wanaume hao ambao hawajatajwa, wameishi na virusi hivyo
kwa takriban miaka 30. Wote walikuwa wanaugua aina ya saratani ijulikanayo kama
lymphoma, ambayo ilihitaji wafanyiwe upasuaji. Sehemu ya Uboho au Bone marrow ndipo celi mpya za damu
hutengezwa mwilini na inaaminika kuwa kitovu cha virusi
vya HIV mwilini. Baada ya kufanyiwa upasuaji, hapakuwa na virusi mwilini
kwa miaka miwili kwa mgonjwa mmoja wakati mwingine
aliishi kwa miaka minne bila ya virusi kuonekana . Ni mapema mno kutafsiri upasuaji huo kama tiba ya ukiwmi
na hata ikiwa itasemekana kuwa tiba basi sio tiba nzuri. Ni
ghali mno na kwa baadhi ya wagonjwa kuna uwezekano wa
kufariki kwa asilimia 15 hadi 20% kwa miaka ya kwanza
baada ya kufanyiwa upasuaji. Wagonjwa hao sasa hawatumii tena dawa za kupunguza
makali ya ukimwi. Upasuaji huu ulifanyiwa wagonjwa hao
kwa sababu walikuwa wanaugua Saratani iliyohitaji
matibabu.
 
Back
Top Bottom